DAHTSUN MIRA
Wakuu habari za muda , leo ni siku ya kuelezea gari ndogo ambazo zinatufaa watu wa kipato cha chini gari hizi ni nzuri sana kwa mtu anayeanza kumiliki gari hawez kujutia kuuitunza matumizi hata mafuta gari hii inakuja na umbo la hatback , milango yake ikiwa ni minne , na inakuja na uwezo wa kubeba watu 5 ,JAPO gari hii imebatizwa majina mengi kam market strategies ya kupata wateja , jina jingine inajulikana kama MISTUBISHI MIRA
Gari hii tegemwa sana kukutana na
[emoji108]Extras: Electric Mirrors
[emoji108]Safety Features: 3 Point ELR Seatbelts, ABS, Hill Assist, SRS Airbags
[emoji108]Exterior Features: Alloy Rims(optional), Fog Lights(optional)
Interior Features: CD Player, Keyless engine start
MAELEZO
DAHTSUN Mira ni gari ndogo kongwe ambayo imeanza kutengenezwa Tangu mwaka 1978 hadi leo , uzalishaji wa gari hili ulisimama mwaka 2003 na kurejea mwaka 2012. Gari hii ilikuja kuziba pengo la Mitsubishi Colt ambayo uzalishaji wake ulikoma mwaka 2013 na tokeà hapo gari hii ikawa gari ambayo inatumia mafuta kwa kiasi kidogo kutokana na maboresho hasa upande wa fuel na hivyo kupendwa sana na watu wa tabaka la chini nchini japani na nje ya japani kwenye soko gari hii ilianza kushindana na Nissan March, Suzuki Alto na Mistubishi mirage.
Upande wa injini
2013 DAHTSUN Mira inakuja na injini yenye piston 3-cylinder
1000cc MIVEC engine
Upande wa transmition katika gari hii inakuja na
INVECS-III CVT transmission hii ni moja kati ya transmition bora kabisa gari hii inakuja na chaguo moja la 2WD, hivyo kufanya ifae sana kwa kuzugia mjini.
Upande wa grade inakuja na
DAHTSUN Mira Grades
[emoji3541][emoji3541] DAHTUSUN MiraE – Toleo hili ni base grade linakuja na ABS, Driver/Front Passenger SRS Airbags, 3-Point ELR seatbelts on all seats, UV/IR solar glass in windshield na keyless entry system.
[emoji3541][emoji3541] DAHTUSUN Mira M – Toleo hili ni intermediate grade linakuja na nyongeza ya adds Auto Stop & Go (AS&G), Hill Assist, regenerative braking, ground effects, UV/IR reducing glass in front door windows, UV reducing privacy glass and electric folding door mirrors.
[emoji3541][emoji3541] DATHSUN Mira M – Toleo hili ni la hali ya juu highest grade linakuja na silver ornamentation in the interior, keyless operation system ikiwa na remote control engine button, immobilizer na auto light control.
DAHTSUN Mira Exterior
DAHTSUN Mira ni gari dogo na ni fupi , gari hii imeundwa mahususi kwa ajili ya kuzungukia mjini na hivyo kukupa uwezo wa kupenya panapokuwa na foleni . Gari hii inakuja na rangi nzuri ambazo ni lemonade yellow, pop green na purple cassis, na hivyo kufanya gari hii iwavutie zaidi wadada na wamama kuitumia.
Hebu tuangalie upande wa mafuta vipi kwa gari hili.
[emoji108][emoji108] DAHTSUN Mira 1.0L non ASG Fuel inatumia km 23.2 Kwa lita 1.
[emoji108][emoji108] DAHTSUN Mira 1.0L with ASG Fuel inatumia km : 27.2 Kwa lita 1.
[emoji91][emoji91] DAHTSUN Mira Acceleration.
DAHTSUN Mira accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 15.2 sec.
Kwa upande wa injini kuchanganya panahitaji sana uvumilivu pasipo uvumilivu huwezi kabisa .....ila ikishachanganya hadi unapenda ....JAPO SIO SANA
TANK LAKE NI LITA 35 ,TU linajaa hadi raha sana.
GROUND CLEARENCE
gari hii inakuja na uvungu ambao ni 6.3 inch sawa na 160 mm yaani hapo wamenifurahisha mno kwa umbo la gari hii kuja na uvungu wa namna hii naikubali sana.
[emoji673][emoji673] DAHTSUN Mira Stability and Handling.
The DAHTSUN Mira has a turning radius of 4.4 meters which is among the best in its class making it one of the most maneuverable small cars around. The open front-end design provides excellent visibility and makes it easier for the driver to maneuver the car in tight urban spaces.
Upande wa marks kwa gari ndogo za piston 3 hii gari naikubali nankuipa alama 89 passo piston 3 naipa 76 alama hizi nimepima kwa kuangalia vitu vya kiuhandisi wa magari zaidi.
RELIABILITY
Upande wa gari hii inakuja na injin mbili zenye cc sawa kuna injini moja inaonyesha kuzingua kidogo lakini matatizo yake inapozingua yanarekebishika ...matatizo hayo ni
[emoji91] Engine problems – Failure to start, vibrations, smoking
[emoji91] Transmission Problems
Matatizo hayo yote yanarekebishika.
Kwa nini nikushawishi ununue gari hili
[emoji91] Economical
[emoji91] Affordable
[emoji91] Maneuverablehasa katika kuendesha ipo soft sana
[emoji24]Nisichopenda katika gari hii.
[emoji120]Mwendo wake bwana wa kobe taratibu sana wale wazee wa kuchachua hapa inahitaji uvumilivu
BEI YAKE NI MILION 7.9
Kwa walengaji ni milion 3 hadi 3.8 isizid hapo
Conclusion
The DAHTSUN Mira is an excellent compact car that is ideal for urban commuting and local errands. It can be used for occasional long distance travel but the 1.0 Litre engine is woefully shorthanded for this particular task. We love the its fuel efficiency and its one of the few cars that makes you forget the ever rising fuel costs. It’s recommended for people that are looking for a practical and economical car for urban commuting.
Naomba kuwasilisha wajuzi karibuni muongezee.
sent from HUAWEI