Naomba kujuzwa kuhusu hii gari inayoitwa Honda Crossroad

Naomba kujuzwa kuhusu hii gari inayoitwa Honda Crossroad

Ahsante ndugu..gari ni sawa na vifaa/Mashine nyingine unazoweza kununua,na sijui ni kwa nini watu huwaza jinsi ya kuuza gari lake kabla hajalinunua na wala sio kwa vifaa vingine kama TV,Radio,Sofa seats NK
Umasikini mkuu, wengi wana vichenji vya kuunga unga,yaani anamiliki kitu ambacho hela yake inatosha kununua sio anachopenda yeye
 
Lakini mleta mada, ni kama unatuchanganya.

Umetueleza sababu ya kukwepa usafiri wa jumuiya, hapo hapo unafanya ambacho hua unakwepa kwenye usafiri wa jumuiya.
Kwenye bus mpo 65 ila private 4 unaona tofsuti eeeeeh
 
Lakini mleta mada, ni kama unatuchanganya.

Umetueleza sababu ya kukwepa usafiri wa jumuiya, hapo hapo unafanya ambacho hua unakwepa kwenye usafiri wa jumuiya.
Chance of contracting corona kwa watu 60 ni kubwa kuliko watu 4
 
Back
Top Bottom