kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 May 17, 2021 #21 Chabo said: Ahsante ndugu..gari ni sawa na vifaa/Mashine nyingine unazoweza kununua,na sijui ni kwa nini watu huwaza jinsi ya kuuza gari lake kabla hajalinunua na wala sio kwa vifaa vingine kama TV,Radio,Sofa seats NK Click to expand... Umasikini mkuu, wengi wana vichenji vya kuunga unga,yaani anamiliki kitu ambacho hela yake inatosha kununua sio anachopenda yeye
Chabo said: Ahsante ndugu..gari ni sawa na vifaa/Mashine nyingine unazoweza kununua,na sijui ni kwa nini watu huwaza jinsi ya kuuza gari lake kabla hajalinunua na wala sio kwa vifaa vingine kama TV,Radio,Sofa seats NK Click to expand... Umasikini mkuu, wengi wana vichenji vya kuunga unga,yaani anamiliki kitu ambacho hela yake inatosha kununua sio anachopenda yeye
Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Apr 17, 2023 Thread starter #22 Prodigy Oligarchy said: Lakini mleta mada, ni kama unatuchanganya. Umetueleza sababu ya kukwepa usafiri wa jumuiya, hapo hapo unafanya ambacho hua unakwepa kwenye usafiri wa jumuiya. Click to expand... Kwenye bus mpo 65 ila private 4 unaona tofsuti eeeeeh
Prodigy Oligarchy said: Lakini mleta mada, ni kama unatuchanganya. Umetueleza sababu ya kukwepa usafiri wa jumuiya, hapo hapo unafanya ambacho hua unakwepa kwenye usafiri wa jumuiya. Click to expand... Kwenye bus mpo 65 ila private 4 unaona tofsuti eeeeeh
Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Apr 17, 2023 Thread starter #23 desayi said: Tatizo spear hivi passo iko vizuri ukibeba watu wanne haizingui mlimani Click to expand... Kuna siku nimetoka dar na mizigo mingi tu na abiria 4 mie wa 5
desayi said: Tatizo spear hivi passo iko vizuri ukibeba watu wanne haizingui mlimani Click to expand... Kuna siku nimetoka dar na mizigo mingi tu na abiria 4 mie wa 5
Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Nov 7, 2023 Thread starter #24 Prodigy Oligarchy said: Lakini mleta mada, ni kama unatuchanganya. Umetueleza sababu ya kukwepa usafiri wa jumuiya, hapo hapo unafanya ambacho hua unakwepa kwenye usafiri wa jumuiya. Click to expand... Chance of contracting corona kwa watu 60 ni kubwa kuliko watu 4
Prodigy Oligarchy said: Lakini mleta mada, ni kama unatuchanganya. Umetueleza sababu ya kukwepa usafiri wa jumuiya, hapo hapo unafanya ambacho hua unakwepa kwenye usafiri wa jumuiya. Click to expand... Chance of contracting corona kwa watu 60 ni kubwa kuliko watu 4