Nilikuwa napenda sana Martial Arts kwasababu ukijifunza hii kitu inakusaidia sana hata ki akili na huwezi kugombana ovyo i mean nidham utaizingatia. Utaepusha magonjwa ya hapa na pale, mimi ningejifunza tangu zamani sema tu ukizaliwa kwenye umasikini na ukakosa Support huwezi cheza huu mchezo.