Naomba kujuzwa kuhusu hili la Martrial Arts

Martial arts hutegemea na muhusika ana ubora gani katika mapambano.
Mfano hiyo krav maga huwa ni self defense martial arts ambayo inatumiwa sana na special forces za Israel haina mfumo wa mikanda wala haina kata.

Pia Muay Boran ni martial arts ambayo inatumiwa sana Thailand ni martial art isiyo na belt pia. Na ilitumiwa zaidi na askari katika vita ni hatari kubwa sana kutumia techniques zake ndiyo maana ilipunguzwa baadhi ya techniques na wakapata Muay Thai.

Martial nyingine nyingi hutumika katika mashindano ila pia hutumika majeshini kwa kuongezewa baadhi ya vitu ambavyo ni deadly.

Kuhusu umri kuna martial arts zinakuhitaji sana uanze na umri kati ili kufanya viungo visipate madhara pia katika moyo.
Mimi nina miaka 29, naweza tumia martial art ipi kati ya hizo ili nisipate madhara kwenye viungo na moyo?
 
Michezo mingi ya mapigano ni show tu na makorokoro mengi ya kuuchosha mwili...
Fanya kick boxer kama lengo lako ni kujilinda..
Kuna mateke ya hatari sana nilijfunza ujanani na hata sasa naweza kuyatumia na yakaleta madhara makubwa.
 
Inahitaji umakini sana katika mazoezi anza taratibu tu ili mwili uzoee kisha una advance kwendana na muda hapo utaepuka kupata tatizo la kutanuka kwa moyo. Na Ndiyo maana nilikwambia kuna martial arts ni maalumu kabisa kwa self defense haziihitaji mambo mengi mfano umegusia hiyo karate combat utafunzwa vitu vya msingi sana siyo lazima vingine vingine ila mazoezi ni mengi na magumu mno.
 
Ni kweli kabisa martial arts nyingi kwa level ya chini huwa ni kama show tu ila ukifika hatua za juu mambo yanabadilika, kickboxer au boxing tu ni nzuri ila kuna martial arts ni balaa kwakweli mfano zinazo funzwa majeshini.
 
Inahitaji umakini sana katika mazoezi anza taratibu tu ili mwili uzoee kisha una advance kwendana na muda hapo utaepuka kupata tatizo la kutanuka kwa moyo. Na Ndiyo maana nilikwambia kuna martial arts ni maalumu kabisa kwa self defense haziihitaji mambo mengi mfano umegusia hiyo karate combat utafunzwa vitu vya msingi sana siyo lazima vingine vingine ila mazoezi ni mengi na magumu mno.
Nimeanza mazoezi madogomadogo ila nilitamani sana Taekwondo. Nikishindwa mimi basi nitahakikisha mwanangu hapo baadae ajifunze martial Art maana mimi umri umesha enda. Dah! Kumbe ukianza saivi moyo unatanuka sijui niache tu? [emoji23]
 
Napiga kombat

Namshukuru Mungu watu wanne hawanipi shida

Kwa mtu ambaye hajaanza mambo haya bora aachane nayo apige tizi za kawaida tu huku ni kujichosha+unapiga misos km ugomv
 
Kama unahitaji mazoezi Kwa afya na simple self defense anza Mdogo Mdogo na tai chi. Upractise Kwa details za pumzi vizuri matokeo ni chanya hata kama umri umeenda.
Personally napenda sana shaolin Kung fu kwangu ndio mchezo mzuri zaidi Ingawa sija master.
Ila Kwa mtu anaetaka summary za kujilinda Nahisi Krav Maga ndio fast mchezo unaofundisha deadly points tu in very summary ila lazima Uwe na background ya mazoezi
 
Nimeanza mazoezi madogomadogo ila nilitamani sana Taekwondo. Nikishindwa mimi basi nitahakikisha mwanangu hapo baadae ajifunze martial Art maana mimi umri umesha enda. Dah! Kumbe ukianza saivi moyo unatanuka sijui niache tu? [emoji23]
Usianze mazoezi kwa kukamia,Anza mazoezi madogo madogo kama kukimbia ukiona umechoka unaacha,fanya hivyo taratibu taratibu mwisho mwili utazoea,mwanzo yes viungo vitauma,piga push up hata kumi kila siku ukiendelea kuongeza kidogo kidogo,kick boxer haina mambo mengi sana imarisha mwili kwanza.
Mimi sina mazoezi ila kujiami nimebakiza tekiniki chache tu za ushindi...
Sema watu wanatembea na magonjwa mengi siku hizi,unaweza ukampiga mtu yoko geli moja akafa ukafungwa,hawataangalia nan mkorofi.
 
Ushauri ulio nipa ndio nacho kifanya kila siku pushup 10 narukaruka pia nina app moja inaitwa splitting training inanisaidia sana ipo hadi siku ya mapumziko.
View attachment 2622542
 
Napiga kombat

Namshukuru Mungu watu wanne hawanipi shida

Kwa mtu ambaye hajaanza mambo haya bora aachane nayo apige tizi za kawaida tu huku ni kujichosha+unapiga misos km ugomv
Napenda sana Taekwondo naliumri langu sijui kama nitaweza [emoji1787]
 
Mimi nimepiga Boxing tu.

Najua kurusha left jab na right jab, swing upper na lower.
Kukwepa na kupiga finishing hitjab.

Nilipata ideas pale ukonga KM

Aroo usije kizembe nakuagusha
 
Nimeanza mazoezi madogomadogo ila nilitamani sana Taekwondo. Nikishindwa mimi basi nitahakikisha mwanangu hapo baadae ajifunze martial Art maana mimi umri umesha enda. Dah! Kumbe ukianza saivi moyo unatanuka sijui niache tu? [emoji23]
Siyo utatanuka inategemea na aina ya mazoezi utakayo fanya inakuhitaji uanze mazoezi ya level ya awali kadiri unavyo advance unaongeza ugumu.

Sasa nakuuliza utafika tu na kuanza kutaka kupiga msamba? Kabla hujaanza mazoezi ya kuweka sawa nyonga? Au urushaji wa mateke ya juu bila kufanya flexibility utaumiza misuli au kuchana nyama.

Tae kwon do ni nzuri inahitaji wepesi na speed hasa kwasababu kwa muda mwingi utatumia zaidi kushambulia kwa kutumia miguu hatari yake ni pale utakapo kutana na mtu atakaye soma movement zako asikupe gape la mateke mfano bondia atahitaji kucheza close na wewe sasa kama hauko vizuri anakutapisha mapema sana.
 
Napiga kombat

Namshukuru Mungu watu wanne hawanipi shida

Kwa mtu ambaye hajaanza mambo haya bora aachane nayo apige tizi za kawaida tu huku ni kujichosha+unapiga misos km ugomv
Uligusa combination ngapi katika hiyo k combat?
 
Siyo utatanuka inategemea na aina ya mazoezi utakayo fanya inakuhitaji uanze mazoezi ya level ya awali kadiri unavyo advance unaongeza ugumu.

Sasa nakuuliza utafika tu na kuanza kutaka kupiga msamba? Kabla hujaanza mazoezi ya kuweka sawa nyonga? Au urushaji wa mateke ya juu bila kufanya flexibility utaumiza misuli au kuchana nyama.

Tae kwon do ni nzuri inahitaji wepesi na speed hasa kwasababu kwa muda mwingi utatumia zaidi kushambulia kwa kutumia miguu hatari yake ni pale utakapo kutana na mtu atakaye soma movement zako asikupe gape la mateke mfano bondia atahitaji kucheza close na wewe sasa kama hauko vizuri anakutapisha mapema sana.
Nimeanza mdogo mdogo kaka naimani nitatoboa hata kama nitutumia miaka, sema tu kinacho ni cost mguu mmoja nilipata ajali hivyo huwa unanisumbua kitu cha pili nimebanwa na shughuli za utumishi wa umma bila hivyo ningetafuta chuo nikawa naongezewa uwezo.
Screenshot_20230515-204250.jpg
Screenshot_20230515-204308.jpg
 
Back
Top Bottom