Naomba kujuzwa kuhusu hili la mbuzi

Naomba kujuzwa kuhusu hili la mbuzi

Mama Mwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
2,435
Reaction score
7,784
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
 
Mbuzi ana meno chini na juu. Pia ndevu nyingi. But Cow yeye ana meno chini tuu. Na mdomo mkubwa. Wewe ni mkuu ndugu yangu.
 
sasa kipi kinasababisha mbuzi akila mboga ulizopanda zinyauke? sjakupata vyema hapo kwa mkuu ndugu yako unaaanisha nn
 
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
Kuna kimoja kati ya mbuzi au ngombe sikumbuki vzr ni ngombe au mbuzi lakini mojawapo MATE YAKE NI NI KAMA SUMU KWA MIMEA.

Huwa akila hata miwa haichipui tena
 
Ni kwamba mate ya mbuzi yana sumu kwa mimea akila ata kakipande kidogo tu cha mmea utanyauka na kufa
 
Mimi ni muhanga WA Hilo la mbuzi,tumenunua mbuzi kama 30 hivi tumewapeleka shamba,Kuna eneo kama heka 2 tumepiga fensi ya fito tukajenga na Banda lao humo ndani,kijana WA kazi alichelewa kuja shamba ikawa mbuzi wanachungiwa humo ndani ya fensi, kulikuwa na miti ya matunda ,tulipanda mipapai,michungwa,mipera,na mikorosho,mpaka muda huu naandika hakuna mti WA matunda hata Mmoja. yoote wameila ila mikorosho imebaki ULE mti mweupe WA ndani ,magome wameyala yote,
 
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
Hilo kwakweli sina uhakika nalo kabisa nitafanya utafiti maana ni jipya kwangu hilii.
 
Kuna kimoja kati ya mbuzi au ngombe sikumbuki vzr ni ngombe au mbuzi lakini mojawapo MATE YAKE NI NI KAMA SUMU KWA MIMEA.

Huwa akila hata miwa haichipui tena
mbuzi huyo
 
Halafu waswahili wanapigania kula ulimi wa mbuzi
 
Back
Top Bottom