Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Mbuzi ana meno chini na juu. Pia ndevu nyingi. But Cow yeye ana meno chini tuu. Na mdomo mkubwa. Wewe ni mkuu ndugu yangu.Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
Kuna kimoja kati ya mbuzi au ngombe sikumbuki vzr ni ngombe au mbuzi lakini mojawapo MATE YAKE NI NI KAMA SUMU KWA MIMEA.Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
Mimi ni muhanga WA Hilo la mbuzi,tumenunua mbuzi kama 30 hivi tumewapeleka shamba,Kuna eneo kama heka 2 tumepiga fensi ya fito tukajenga na Banda lao humo ndani,kijana WA kazi alichelewa kuja shamba ikawa mbuzi wanachungiwa humo ndani ya fensi, kulikuwa na miti ya matunda ,tulipanda mipapai,michungwa,mipera,na mikorosho,mpaka muda huu naandika hakuna mti WA matunda hata Mmoja. yoote wameila ila mikorosho imebaki ULE mti mweupe WA ndani ,magome wameyala yote,Ni kwamba mate ya mbuzi yana sumu kwa mimea akila ata kakipande kidogo tu cha mmea utanyauka na kufa
Hilo kwakweli sina uhakika nalo kabisa nitafanya utafiti maana ni jipya kwangu hilii.Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
mbuzi huyoKuna kimoja kati ya mbuzi au ngombe sikumbuki vzr ni ngombe au mbuzi lakini mojawapo MATE YAKE NI NI KAMA SUMU KWA MIMEA.
Huwa akila hata miwa haichipui tena
unipe majibuHilo kwakweli sina uhakika nalo kabisa nitafanya utafiti maana ni jipya kwangu hilii.
Halafu waswahili wanapigania kula ulimi wa mbuziKuna kimoja kati ya mbuzi au ngombe sikumbuki vzr ni ngombe au mbuzi lakini mojawapo MATE YAKE NI NI KAMA SUMU KWA MIMEA.
Huwa akila hata miwa haichipui tena
Sawa nitasemaunipe majibu
Tunaula ukishapikwa πHalafu waswahili wanapigania kula ulimi wa mbuzi
Sumu inaharibiwa kwa mapishi?Tunaula ukishapikwa π
πππ Aseee, kwahiyo sumu ni ulimi pekee au na part zingine ana sumu??Sumu inaharibiwa kwa mapishi?
Sumu ni kilichomo kwenye ulimiπππ Aseee, kwahiyo sumu ni ulimi pekee au na part zingine ana sumu??
kwa hiyo hakiondoki hata ulimi ukipikwaSumu ni kilichomo kwenye ulimi