Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
MWENYE IDEA KUHUSU UBORA WA HII GARI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa sawa na Discovery 3.....achana na Petrol zote....chukua Diesel engine za 2.7 hazisumbui...na ni very economic kama Petrol ya 1.8ltrni gari nzuri nzuri sana na siko very comfotable,ila siku aina mbili ama tatu,itategemea na unakoitolea,mimi ni muuzaji wa magari kama haya japo nayaagiza toka uk! kuna jeep cherokee - diesel na petrol, pia kuna ya 3.7 petrol automatic ama manual na pia kuna ya 2.7 automatic ama manual, kwa tanzania nakushauri chukua 2.7 desel automatic! pia ziko ambazo ni leather seat na cloth pia! nafikiri utakuwa umenielewa! usichukue petrol..."itakufilisi mzee kwa tanzania!
ni gari nzuri nzuri sana na siko very comfotable,ila siku aina mbili ama tatu,itategemea na unakoitolea,mimi ni muuzaji wa magari kama haya japo nayaagiza toka uk! kuna jeep cherokee - diesel na petrol, pia kuna ya 3.7 petrol automatic ama manual na pia kuna ya 2.7 automatic ama manual, kwa tanzania nakushauri chukua 2.7 desel automatic! pia ziko ambazo ni leather seat na cloth pia! nafikiri utakuwa umenielewa! usichukue petrol..."itakufilisi mzee kwa tanzania!
vipi kuhusu upatikanaji wake wa speani gari nzuri nzuri sana na siko very comfotable,ila siku aina mbili ama tatu,itategemea na unakoitolea,mimi ni muuzaji wa magari kama haya japo nayaagiza toka uk! kuna jeep cherokee - diesel na petrol, pia kuna ya 3.7 petrol automatic ama manual na pia kuna ya 2.7 automatic ama manual, kwa tanzania nakushauri chukua 2.7 desel automatic! pia ziko ambazo ni leather seat na cloth pia! nafikiri utakuwa umenielewa! usichukue petrol..."itakufilisi mzee kwa tanzania!
Spea ni kizungumkuti. Pia gari haiuzikiV
vipi kuhusu upatikanaji wake wa spea
Ushauri mzuri mwana jamvi, tunashukuru kwa elimu hiyo;lakini nimeona kupitia Beforward mengi ni toka Japani.
Tofauti yake nn mkuu? Je utumiaji wake wa mafuta umekaaje?Kwa umbo ni ka gari kadogo kama Rav 4, ila kana engine sawa na engine mbili za Rav 4. Kaweke kwenye class ya ma V8.
NB: Halafu picha uliyoweka siyo ya Cherokee.. Hiyo inaitwa Grand Cherokee!
Cherokee ni old model.. Grand Cherokee ni new model.Tofauti yake nn mkuu? Je utumiaji wake wa mafuta umekaaje?
Yan sijui kwa nn naipenda hiyo old modelCherokee ni old model.. Grand Cherokee ni new model.
Siyo kweli. Cherokee na Grand Cherokee ni models mbili tofauti za Jeep.Cherokee ni old model.. Grand Cherokee ni new model.
Sio lazma ununue japan, hao hao beforward wanazo stock za uk ambazo gari zao nyingi ni diesel. Utapata gari kama rav4 kill time, nissan xtrail za diesel.
Chukua chuma hii
Sasa Cherokee ni 4,000CCHiyo ni jeep grand Cherokee. Ni imara ila kitu inakula wese sio kidogo nadhan ina Cc2800 6cylinder
Sent using Jamii Forums mobile app