Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
CHASHA FARMING usiwe mkali mkuu, zao ni geni kwenye masikio ya wengi, mfano kuna mtu ukimwambia kiwi ni tunda atakataa ila haibadilishi anachokiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza anza kidogokidogo sana ukawa unaenda una ongeza.Ni mwaka Jana ndiyo nilifahamu kwa mara ya kwanza juu ya uwepo wa tunda liitwalo dragon.
Dragon ni kama jina la "utani"
Jina lake halisi, kama sikosei, ni PITAYA au MSHOKISHOKI.
Uchunguzi wangu nilioufanya umenibainisha kuwa zao hili lingali lina soko sana hapa Tanzania na hata Afrika Mashariki kwa ujumla
Nimejiridhisha kuwa ni uwekezaji sahihi kuufanya.
Naomba wadau wenye kufahamu zaidi wanijuze:
1. Ekari moja itahitaji miche mingapi?
2. Ikiwa nitaamua kununua miche kidogo kidogo, labda miche minne kila mwezi, itanichukua muda gani kukamilisha ekari moja?
3. Kuna ulazima wa kuwa na miundombinu ya umwagiliaji kwenye shamba husika?
4. Ni mambo gani ya kuzingatia sana unapoamua kufanya kilimo husika?
Ni hayo tu!
Asante[emoji120][emoji120][emoji120]
Sawa.PUMBAVU.
kama hao wapumbuvu unaosemea ni mimi hujakosea mkuu mimi ni mpumbavu pro max🙌🏾Mmeaingia na nani? Kwani wote tunapaswa kulima matikitiki au Dragon? Forum imevamia sana hii ndio maana wengine tunaamua kukaa kimya. forum imejaa wapumbavu tupu.
🙏🙏🙏Unaweza anza kidogokidogo sana ukawa unaenda una ongeza.
English: PITAYADragon fruit siyo Shokishoki
Shokishoki nayajuwa kabla sijajuwa dragon fruits,shokishoki ni ndogo kwa size.English: PITAYA
Kiswahili: MSHOKISHOKI
Jina la "utani" (aka): DRAGON FRUIT