Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha Ekari moja ya Dragon

Unaweza anza kidogokidogo sana ukawa unaenda una ongeza.
 
Mmeaingia na nani? Kwani wote tunapaswa kulima matikitiki au Dragon? Forum imevamia sana hii ndio maana wengine tunaamua kukaa kimya. forum imejaa wapumbavu tupu.
kama hao wapumbuvu unaosemea ni mimi hujakosea mkuu mimi ni mpumbavu pro maxπŸ™ŒπŸΎ
 
Kuna matunda nilliwahi kuyaona mbinga wanayaita "matunda mungu' sijui kama ni jina halisi, ni matamu sana kuliko mapapai, umbile Kama embe. Sijawahi kuyaona mkoa mwingine wowote, sijui kwa kingereza wanaitaje au historia kuwa yalitokea wapi, natamani Kama mtu anauelewa kidogo wa "matunda mungu', anieleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…