juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Wakuu habari zenu?
Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze.
Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya kuondoa kabisa hili tatizo naomba msaada tafadhali.
Nimeshafanya vipimo vya moyo ila hakuna tatizo lolote.uzito wangu ni kg 66.