Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Na hapa pia kuhusu preshaInawezekana wewe uko na attitude inayoufanya mwili uhisi kuwa na presha juu ndio ponapona yake.
Sio lazima iwe ndio sababi yako, lakini ni kisababishi kikubwa. Sitaandika sana