Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Jul 23, 2023 #21 Uhakika Bro said: Inawezekana wewe uko na attitude inayoufanya mwili uhisi kuwa na presha juu ndio ponapona yake. Sio lazima iwe ndio sababi yako, lakini ni kisababishi kikubwa. Sitaandika sana Click to expand... Na hapa pia kuhusu presha Shinikizo la damu: Je? Utumie nguvu yote kabisa katika uwezo ulionao? – Sahili sahili.net
Uhakika Bro said: Inawezekana wewe uko na attitude inayoufanya mwili uhisi kuwa na presha juu ndio ponapona yake. Sio lazima iwe ndio sababi yako, lakini ni kisababishi kikubwa. Sitaandika sana Click to expand... Na hapa pia kuhusu presha Shinikizo la damu: Je? Utumie nguvu yote kabisa katika uwezo ulionao? – Sahili sahili.net
Kommando muuza madafu JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,216 Reaction score 7,254 Jul 23, 2023 #22 dr namugari said: Mbna mdgo San aise Hadi kuwa na ugonjwa huo jikite kwenye maombi fukuza pepo hilo ,ugonjwa huo haukufai kbsaa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ni kweli hilo ni Pepo pamoja na kisukari na Cancel sijui Figo kufeli n.k Mungu atusaidie kwa kweli.
dr namugari said: Mbna mdgo San aise Hadi kuwa na ugonjwa huo jikite kwenye maombi fukuza pepo hilo ,ugonjwa huo haukufai kbsaa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ni kweli hilo ni Pepo pamoja na kisukari na Cancel sijui Figo kufeli n.k Mungu atusaidie kwa kweli.
KINGSLEE JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 830 Reaction score 1,046 Jul 27, 2023 #23 dr namugari said: Mbna mdgo San aise Hadi kuwa na ugonjwa huo jikite kwenye maombi fukuza pepo hilo ,ugonjwa huo haukufai kbsaa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Una uhakika kama Ugonjwa wa Presha ni PePO?🤣🤣🤣🤣🤣
dr namugari said: Mbna mdgo San aise Hadi kuwa na ugonjwa huo jikite kwenye maombi fukuza pepo hilo ,ugonjwa huo haukufai kbsaa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Una uhakika kama Ugonjwa wa Presha ni PePO?🤣🤣🤣🤣🤣
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 25, 2024 #24 Swala la presha iwe ya kushuka au kupanda dawa ninayo .Ila ni tiba Asili. Kutokushika mimba pia dawa ipo Hizi dawa zinaufanisi mzuri kwa muhitaji tuwasiliane PM.
Swala la presha iwe ya kushuka au kupanda dawa ninayo .Ila ni tiba Asili. Kutokushika mimba pia dawa ipo Hizi dawa zinaufanisi mzuri kwa muhitaji tuwasiliane PM.