kwa wanaofahamu naomba wanisaidie kuwa kukopa NMB kwa sasa ni mara ngapi ya take home salary na riba kwa miezi 60 ni kiasi gani pia ni vitu gani vinahitajika. nipo mbali kidogo na matawi ya benki ningewauliza. nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.