Naomba kujuzwa kuhusu Shazam application

Ukitaka kuifungua shazam kwanza kama unahitaji kuujua wimbo ht kama kipande cha nyimbo kimepiga kati kidgo tu fungua shazam then washa kile kipande cha nyimbo itakuletea msanii aliyeimba nyimbo hiyo, na unaweza kudownlaod
Mkuu hujanielewa kidogo swala langu
 
Mbona nyimbo nyingi za bongo hazipo
 
Kwanyongeza kuna wakuitwa Song Traders.. wao ukipandisha wimbo kwao watakusambazia katika platform zote kubwa na Shazam watakua na huo wimbo.

Kutokupatikana kwa nyimbo nyingi za kibongo wasanii wanawategemea ma manager uchwara wao wawafanyie hizo kazi na pili ni ukosefu wa uelewa wa matumizi ya internet katika shughuri zao.
 
Hivi kwanini afrika hatuna app km iz kikwazo ni nn?
 
Kinachofanyika wanakusanya nyimbo nyingi as they can kizingatio kikuu ni umaarufu wa hizo nyimbo kisha kuna argorithm wanatumia kuchukua samples(signature) za hizo nyimbo na kuziweka kwenye database yao.
Wewe unapoisikilizisha app hiyo nyimbo yako, inachukua signature yake na ku compare against their database, kama washachukua sample yake before ita match na kukuletea majibu, otherwise itasema haiijui.
It work the same as Biometrics identification system, Fingerprinting Identification, Face Identification, Iris identification, Voice identification etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…