Shazam iko chini ya Apple baada ya kuinunua kwa $400M kutoka kwa Philip na washkaji zake walioanzisha Shazam
So na tunajua Apple Music ndio inaongoza kwa kuwa na database kubwa ya nyimbo zaidi ya 60M songs
Wamewazidi Spotify, Pandora, Amazon Music, Gaana, Angami na Boomplay
Sasa basi unaweza ona ni jinsi gani Shazam wanaweza integrate na database ya Apple Music
Ukitoa nyimbo ukaipandisha kwenye digital platforms kama Apple Music na wenzake ni rahisi kuikuta kwenye shazam
Lakini kama nyimbo haijapandishwa kwenye hizo platforms huwezi ikuta Shazam, usitegemee mwimbo wa Ugali wa Masanja utaikuta Shazam