central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Hii Mtazamo ft Profesa jay,Afande.Kuna ngoma yake nyingine anaimba sijui hakuna S bila O solo bila Thang nimeisahau sema ana nyimbo kibao kitambo kile sasa hivi sijui kama ana ngoma yoyote mpya
Yap nimeikumbuka manHii Mtazamo ft Profesa jay,Afande.
Asante Mdau[emoji91][emoji91]Chukua hizi nne nnazozikubali sana.
1. Uwezo 100 ft king Zilla (RIP)
2. Traveller
3. Simu yangu ft Soggy & Juma Mchopanga
4. Mambo ya Pwani ft. Sir Nature kiroboto
Miss TanzaniaaaaaMiss tanzania ile ngoma ni ya karne mle ndani kuna tungo tata
Anamuongelea miss tanzania km mtu fulani malaya
Pili km nchi ya tanzania inavyotoa malvasia kwa wageni
TRAVELLERHivi Solo Thang anazo Album ngapi? Wakuu naombeni mnitajie zile ngoma kali za Solo Thang za Hip hip nizipakue. Hata zikiwa zaidi ya 20. Nataka nimjue huyu jamaa.
#forgive me
Ni mtazamo Yuko Prof Na Afande SeleKuna ngoma yake nyingine anaimba sijui hakuna S bila O solo bila Thang nimeisahau sema ana nyimbo kibao kitambo kile sasa hivi sijui kama ana ngoma yoyote mpya