little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Nafikiri pia Dknob naye alivipiga 6 kwa wa Enzi hizoULAMAA!!ni moja ya wasanii waliofanya jamii ikubali sanaa ya Vijana wa kizazi kile.
“VIDATO SITA NILIVYOPITIA NDIVYO VINAVYO NISAIDIA”
Wakati huo wasanii waliokwenda shule ni wakuhesabu.Mwamba yeye alijisifu na Kidato Chake cha 6.
Mpaka sasa tunao nadhani wenye Degree 2.