Naomba kujuzwa kuhusu Solo Thang na kazi zake za sanaa

Nafikiri pia Dknob naye alivipiga 6 kwa wa Enzi hizo
 
Kuna ngoma yake nyingine anaimba sijui hakuna S bila O solo bila Thang nimeisahau sema ana nyimbo kibao kitambo kile sasa hivi sijui kama ana ngoma yoyote mpya
Hiyo alishirikishwa na Afande Sele, itakuwa inaitwa Msimamo kama sikosei.
 
Kuna ngoma yake nyingine anaimba sijui hakuna S bila O solo bila Thang nimeisahau sema ana nyimbo kibao kitambo kile sasa hivi sijui kama ana ngoma yoyote mpya
Mtazamo ndiyo ilimpa Tuzo ya King of Rhymes Afande Sele.
 
Vina utata
Homa ya dunia
Kima cha chini
Party ft. Mark 2 B
Mambo ya pwani ft. Juma
Si ulinikataa
 
Mchango wake ulikua ni mkubwa katika early stages za ukuaji wa mziki wa kizazi kipya ( kufoka foka)

Ila mimi mpaka leo sielewagi, ukiacha ujumbe, zile vibe za watu wa kufoka foka, ni kama wamepandwa na mashetani.

Kibaya zaidi, wanawaambia mashabiki wao, machizi wote mikono juu, alafu watu wazima kabisa wenye utimamu wa afya ya akili wanainyoosha mikono juu.

Nina mengi ya kujifunza.
 
Nick wa pili
 
Unamzungumzia TRAVELLER a.k.a MWAZUONI aliye komaa mtoto wa mbagala huyu jamaa ni moja ya ma mc lyrical sana aisee Yuko deep sana kwenye kughani
 
Mtoto sio Rizki kama aliona mbele hivi na mambo ya pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…