Naomba kujuzwa kuhusu Uchumi wa Tanzania

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Kupitia uzi huu tujadili uchumi wetu Wa Tanzania,

Kwa kuazia kabisa naomba wananchi wenye upeo wa hali ya juu, ili kuiwezesha mada kama hii kuwa tamu na nzuri,

1,Naomba kufahamishwa, ni wilaya ngani hapa Dar es salaam ambayo inachangia pato kubwa kwa taifa letu na ni kwa nini?

2,kati ya waafanyabiashara, wakulima, wafanyakazi mbalimbali na wajiriwa ni kundi ngani la watu kati ya hao wanachangia pato kubwa kwa taifa na ni kwa nini?

3,ukiachana na Dar es salaam ni mkoa ngani mwigine unachangia pato kubwa kwa taifa. je? vipi miundo mbinu imeimarishwa katka mkoa huo

4,Ni kwa nini? wakulima wadogodogo hawaruhusiwi kwenda kutafuta soko nchi za nje,? ili hali wafanya biashara wakubwa wanaruhusiwa.

5,Ni mkoa gani wenye madini na maliasili nyingi sana,? na maendeleo yao,, yakoje katika huo mkoa...?

6 Ni kwa nini ofisi nyingi za umma ziko Dar es salaam,??

7,Ni asilimia ngapi? ya pato la taifa linalotokana na utalii

nawakilisha kwenu waatalamu wa uchumi.
 
Reactions: C.K
Wasiliana na Nchemba

Mh. Rais anamtegemea sana huyu jamaa kuhusu uchumi, si hatujui.
 
Wasiliana na Nchemba

Mh. Rais anamtegemea sana huyu jamaa kuhusu uchumi, si hatujui.

Asante, kwa ushauri
wako

lakn nakuomba usitumie neno sisi hatujui sema mimi sijui., b'cause jf ni kama jamii ya watu fulani, so any type ya watu ipo humu

asante sana mkuu 50cent
 
Alitakiwa afanya homework kwanza

Watanzania ndiyo njisi tulivyo, baadala ya kuchangia maada unapost mawazo mgado kabsa
hapo nikija na thread ya mapenzi, watu wangetoa point.
 
Alitakiwa afanye homework mwenyewe, sio kuuliza tu.

ushauri wako ni pumba kabisa.Mbona kule MMU mtu akiuliza swali mnatililika majibu.

Tanzania maswali ya muhimu uwa amjibu bali ya mapenzi na umbeya ndio mnapenda kujibu
 
ushauri wako ni pumba kabisa.Mbona kule MMU mtu akiuliza swali mnatililika majibu.

Tanzania maswali ya muhimu uwa amjibu bali ya mapenzi na umbeya ndio mnapenda kujibu

Nashukuru sana mkuu kwa kuliona hilo, jf ya sasa imekuwa ya kujadili matapu tapu tu,,!
ukileta hoja hapa ya kundauda tu inayohusu mapenzi utaona watu wanashuri vizuri sana!!

kwa mfano nimeshawahi kutembea na mke wa boss, kwa sasa anitaka nimuoe kwa sababu alinogewa na penzi langu, sasa nitafanyeje na boss akijua itakuwaje?, kusema kweli mke wa boss hela anazo za kutosha mimi nichoogopa ni boss wangu ataniua kwa sababu anaweza kuwalipa watu hela, nakuja kunifanyia unyama
je? nifanyae wana jf wezangu.


ukiunda story za namna hii utaona wana jf wanavyochagia sasa!
 
nahamini bado kuna wana JF japo wachache wanaoweza kuokoa Jahazi ili.

Mambo ya msingi inafaa yawe mengi kujadili kuliko mengine lakin imekuwa tofauti.
 
JIBU.
Swali namba7.
Mwaka 2013 jumla ya watalii 1,095,000(milioni moja na tisini na tano elfu ) walikuja Tanzania na kuiingizia serikali jumla ya $1.85bn(shilingi trilioni 3 za kitanzania) na hii ni 5.6% ya Gross domestic product(GDP) ya Tanzania ya mwaka 2013 ambayo ilikuwa $33.23bn(shilingi trilioni 55 za kitanzania).
Vyanzo:Trading economics,world bank,Bodi ya utalii na gazeti la Citizen.
 
Mnaweza kupitia hii page ya Facebook inaitwa UCHUMI NA BIASHARA mtapata baadhi ya majibu kuhusu uchumi na biashara Tanzania.
 
Kwa muda wa takribani miaka mitano uchumi wa TZ. umekua kwa wastani wa 7% huku sekta za mawasiliano,usafirishaji,fedha,ujenzi ,uuzaji bidhaa rejareja na uzalishaji bidhaa viwandani vikichangia sana ukuaji huo.
 

Shukurani sana mkuu kuwa mtu wa kwanza mwenye uelevu kupitia uzi huu,

swali kwenye jibu lako
hiyo twakimu uliyoitaja je? inajumlisha na utalii wa Tanzania kisiwani(Zanzibar)
,,,
na ni mkoa ngani hapa tanzania ambao hupata watalii wengi sana??

ni aina gan? ya kivutio ambacho huleta watalii wengi kupita vivutio vyote hapa nchini ??
 
nina wasi wasi sana na elimu ya wana jf.

Na wana jf wana wasi wasi sana na elimu yako. Humu kuna watu wa kila sekta wengine wanasoma huu uzi wako ila wanautafutia muda sasa wewe unapoleta dharau!! Soma na kutoa maoni mwenyewe.
 
Uchumi wa tanzania umeongezeka kwa kasi sana kwa asilimia 7.5 hivyo umeufanya tanzania kuwa kifua mbele miongoni mwa nchi nyingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…