Naomba kujuzwa kuhusu Uchumi wa Tanzania

Naomba kujuzwa kuhusu Uchumi wa Tanzania

Kupitia uzi huu tujadili uchumi wetu Wa Tanzania,

Kwa kuazia kabisa naomba wananchi wenye upeo wa hali ya juu, ili kuiwezesha mada kama hii kuwa tamu na nzuri,

1,Naomba kufahamishwa, ni wilaya ngani hapa Dar es salaam ambayo inachangia pato kubwa kwa taifa letu na ni kwa nini?

2,kati ya waafanyabiashara, wakulima, wafanyakazi mbalimbali na wajiriwa ni kundi ngani la watu kati ya hao wanachangia pato kubwa kwa taifa na ni kwa nini?

3,ukiachana na Dar es salaam ni mkoa ngani mwigine unachangia pato kubwa kwa taifa. je? vipi miundo mbinu imeimarishwa katka mkoa huo

4,Ni kwa nini? wakulima wadogodogo hawaruhusiwi kwenda kutafuta soko nchi za nje,? ili hali wafanya biashara wakubwa wanaruhusiwa.

5,Ni mkoa gani wenye madini na maliasili nyingi sana,? na maendeleo yao,, yakoje katika huo mkoa...?

6 Ni kwa nini ofisi nyingi za umma ziko Dar es salaam,??

7,Ni asilimia ngapi? ya pato la taifa linalotokana na utalii

nawakilisha kwenu waatalamu wa uchumi.

Mawazo mazuri kiongozi, bg up sana
 
maskin nchi yangu iliyojaa vijana wavivu...
Mkuu usipende kuletewa ulitakiwa ufanye research yako binafsi.
Najua akili yako imewaza mambo mengi sana na yenye maana ila kinachokuangusha ni uvivu.

Hivi unafikir akina newton,karl marx na wengineo wangekuwa na uvivu kama wako hii dunia ingekuwaje?

Jaribu kujijengea hali ya kuwa mtafit utafika mbali sana.
Ukitegemea mawazo ya akina Bull dog na Mgirik tutakudanganya bure na utaamin kitu cha uwongo

Leo umenikela sana nimeona nikufuate huku huku, wewe unafikiri ni mada gani zinazotakiwa kujadailiwa jf.
 
Last edited by a moderator:
Uchumi wa tanzania umeongezeka kwa kasi sana kwa asilimia 7.5 hivyo umeufanya tanzania kuwa kifua mbele miongoni mwa nchi nyingi sana!

I'm confused here uchumi wa Tanzania umepanda kivipi? mbona kila kukicha fedha yetu (Shilingi) naona kama inazidi kushuka dhamani? au labda nina uelewa mdogo na mswala ya uchumi?😕 😕
 
Ask Ndulu and the Minister of Finance! They have no idea what is happening! Only we are suffering!
 
Back
Top Bottom