Naomba kujuzwa kwa kina kuhusu biashara ya juice

Naomba kujuzwa kwa kina kuhusu biashara ya juice

Mdau tu

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
22
Reaction score
22
Habari

Wiki ilioisha niliona mdau kaelezea kuhusu biashara ya juice sikumuelewa vizuri.

Kama kuna MTU anaijua vizuri ajaribu kushare lolote na Mimi nataka kuijua changamoto yake, mahali unayoweza kuifanyia ani iwe na factors zip za muhimu pia faida ake
 
Niko Dodoma nilikuwa nataka kujua t location ake inaez ikachangiwa na vitu gani labda kuiwezesha
Kwa dodoma location nzuri machinga complex, kwenye masoko, minada na vyuoni. Ila kwa vyuo itakuwa ni biashara ya msimu. All the best.
 
Niko Dodoma nilikuwa nataka kujua t location ake inaez ikachangiwa na vitu gani labda kuiwezesha
Kwa Dodoma, tafuta mahala pembeni ya:
  • Bar au restaurant (ongea na mmiliki)
  • Carwash
  • Petrol Station
  • Garden
Ukiamu kujenga tu sehemu nyingine, kumbuka ingeuze kama meetup point au juice point., kwamba watu waje kupiga story na kunywa juice.

Chukulia kama unatengeneza coffee point. Watu wanaoenda kunywa coffee wanafuata calm and chill atmosphere, sio coffee tu.
 
Nimewahi fanya biashara ya juice ya miwa...kuna faida ila nilikuwa nimeajiriwa tu nalipwa elfu nane na mipigo ya apa na pale ila tu hesabu ya boss isiharibike .. naipata 10k boss alikuwa na juice point kama 3 hivi mbeya pale lakini sharti inatakiwa juice point ikae karibu na sehemu ambayo inauza sana misosi
 
Siku hizi huku Dar wanaweka sukari. Yaani wapuuzi sana hawa.
 
Kwa upande wangu nilikuwa juice point ilikuwa
Siku hizi huku Dar wanaweka sukari. Yaani wapuuzi sana hawa.
Apo wanakuja kuzingua nakumbuka mimi nilikuwa naweka ndimu na tangawizi safi kitu iikuwa inauzika kinoma....na usafi nilikuwa nazingatia
 
Back
Top Bottom