Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Waliacha kwenda kwa sababu ile fiesta ya mwaka 2011kama sikosei,machalii waligeuza uwanja wa Shekh Amri Abed ilipofanyika Fiesta kuwa Bucha kwani machalii walichomana visu na kujeruhiana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu
 
mkuu hao machali wa arusha ni hatari kwa afya...sidhani kama utampeleka man fongo au sholo mwamba wakamwelewa...wao wanawaelewaga chindo na jambo squad
......waoo....wana pata zile hits zao especially digi digi by jambo squad
 
Ikitoka Mbeya itakuja Arusha
Hapana. Ikitoka Moshi ambayo ni usiku huu wa leo Sep 25, 2016 Jumamosi ijayo Okt 1,2016 inakwenda Arusha Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium. Officially confirmed, sikiliza CloudsFM
 
Arusha hawatakagi ujinga , wanaweza wakamwamuru msanii aimbe mpaka asubuhi na akikataa tu kinanuka
 
Tarehe 1 octoba fiesta itakuja huko nilisikia b12 anasema
 
Back
Top Bottom