Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Je nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini?

Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni.

Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this unsocial acts.
 
Ni kuhakikisha wanapunguza idadi ya watu duniani haswa Afrika.

Utaona jitihada zao zimejikita zaidi kuwamaliza wananaume ili wasizalishe watoto.

Mkakati mwingine wa kuwamaliza wanaume nguvu ni mpango wao wa kuwawezesha wanawake huku wakidumaza uwezo wa mwanaume. Na hili wamefanikiwa sana. Angalia hali ilivyo mtaani na mijini; wanawake aidha wanamiliki mali zao ama wanamiliki pamoja na wanaume. Na hiki limesababisha migogoro na utengano na hatimaye watu wengine hawaishi pamoja kama mke na mume, na hivyo hawazai watoto.

Ushoga na usagaji unafanya watu wawili wa jinsia moja kuoana huku kibaiolojia ikishindikana kupata watoto, na hapa lengo la kupunguza idadi ya watu linatimia.

Mkakati mwingine ni uzazi wa mapango.

Magaharibi wanatenga fedha nyingi sana kufadhili harakati za kupunguza idadi ya watu kupitia kuwezesha wanawake, ushoga, uzazi wa mpango n. K
 
Back
Top Bottom