Mike Moe JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 319 Reaction score 335 Nov 6, 2024 #1 Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo
Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo