MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Kuulizia haimaanishi ana leseni au anaweza kuendesha,labda ndo kaingia Mjini kapita mahali ,kwa akabaki na maswaliLeseni yako umeipataje? Mbona ni swali hata mtoto wa kindergarten anajibu?
Basi inabidi ajue tu taa ya kijani inampa uhuru yeye wa kutembea na sio watembea kwa miguu.Kuulizia haimaanishi ana leseni au anaweza kuendesha,labda ndo kaingia Mjini kapita mahali ,kwa akabaki na maswali
Thd iishie hapa.Ikiwaka ya kijani watembea kwa miguu ndio wanatakiwa kusubiri magari yapite. Nje ya hapo wanakosea
Hata kama ni kijani, kama ameshaingia kwenye Zebra sharti usimame apiteTaa ya kijani wewe kanyaga wese,nyekundu waache wapite
Umemaliza kila kitu! Sio unagonga mtembea kwa miguu eti kwa vile taa ya kijani imewaka.kwa mujibu wa shule ya udereva...alama yoyote ya barabarani inamuwakilisha askari haswa wa kitengo cha usalama wa barabarani...hivyo kitendo cha kuwa na taa za kuongozea...
Wewe unadhani ni kipi bora, kuwasubiria wapite kwanza au kuwagionga kisa taa zimeruhusu? Katika mazingira yoyote yale tatanishi bararbani, mtembea kwa miguu ana priority, anafuata mwenye basikeli halafu mwisho mwenye gariNaomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI?
Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
haimpi uhuru moja kwa moja bari inampa uhuru wa kutembea endapo tu...pako salama kutembeaBasi inabidi ajue tu taa ya kijani inampa uhuru yeye wa kutembea na sio watembea kwa miguu.
Kwa swali la namna hii inadhihirisha wazi kwamba leseni yako ya udereva uliipata kimagumashi