Naomba kujuzwa maduka yanayouza Biblia hapa Dar

Naomba kujuzwa maduka yanayouza Biblia hapa Dar

Therapist 2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
790
Reaction score
833
Habar ya weekend wakuu!!

Naomba kujuzwa maduka yanayouza bible hapa Dar, nataka kuchukua bible ya kiingereza yazamani kidogo inaitwa "the Gedion" . kwa wale waliwahi kuitumia wanaifahamu vizur ina kiingereza kile cha zamani, sio chepesi kama new version bible za sasa!!.

Ni hayo wakuu!!.
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
-%20washkajizangu%20mimi%20kama%20mimi%20naona%20kabisa%20huyo%20sio%20mwizi%20(ni%20shujaa)%...jpeg
 
Habar ya weekend wakuu!!

Naomba kujuzwa maduka yanayouza bible hapa Dar, nataka kuchukua bible ya kiingereza yazamani kidogo inaitwa "the Gedion" . kwa wale waliwahi kuitumia wanaifahamu vizur ina kiingereza kile cha zamani, sio chepesi kama new version bible za sasa!!.

Ni hayo wakuu!!.

Nenda kimara mwisho uliza ofisi za TRA na crdb ilipo ukifika hapo ni njia ya kwenda king’ongo uliza hata kwa mlinzi atakuonyesha lipo floor ya kwanza nyuma kupita kwa ubavu upande wa barabara nyuma ya kodi ya majengo ndo kuna duka kubwa zaidi nadhan ndo kubwa tanzania nzima hata hata hao wengine wanaenda hapo nawaona wanashushaga kontena zaidi ya tatu kwa kila mzigo mpya jaribu hapo kama upo dar


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom