Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 790
- 833
Asante mkuuNenda msimbazi utaikuta Hat a Ile ya katoliki yenye vitabu 79
Mtaa gani mkuu?Kariakoo
TemekeUko sehem gani Dar
Habar ya weekend wakuu!!
Naomba kujuzwa maduka yanayouza bible hapa Dar, nataka kuchukua bible ya kiingereza yazamani kidogo inaitwa "the Gedion" . kwa wale waliwahi kuitumia wanaifahamu vizur ina kiingereza kile cha zamani, sio chepesi kama new version bible za sasa!!.
Ni hayo wakuu!!.