Naomba kujuzwa mahitaji ya mtoto mahakamani

Dah haya mambo magumu sana, unaweza kulaumu mtu ukamuonea tu.

Kaa chini na baba watoto wako, wote muwe positive mlijadili maana mtoto hana hatia, mtaelewana tu wote mkiwa waelewa na mtoto atalelewa na kukua bila shida.

Usilete terms ngumu kwa mwenzio, mpe options rahisi ili mtoto asome na aishi vizuri.
 
Habari,

naomba msaada wa wa haki ya mtoto kutoka kwa baba yake.

Mahitaji ya mtoto pamoja na ada.

Ni mahakama gani natakiwa kwenda.

Asante
Nakuomba usisubutu kwenda huko maana sheria itakua ya zamani sasa itatolewa hukumu itakuacha hoi unafikili kwa nin wabunge hawataki kuiboresha hii sheria ya malezi ya watoto!!!Wanajua itawabana nakushauri kaa na mwenza wako mjadiri sio unamletea jeuri mwanaume
 
a
Asante kwa ushauri
 
Habari,

naomba msaada wa wa haki ya mtoto kutoka kwa baba yake.

Mahitaji ya mtoto pamoja na ada.

Ni mahakama gani natakiwa kwenda.

Asante
Pole sana aisee ushauri wangu kaa chini mjadili hili suala na mzazi mwenzako kuna shoga angu alienda huko mzazi mwenzie anauwezo tu ila hela aliyoamuliwa alipe kwa mwezi ni simanzi kwa kweli.
 
Pole mtoa hoja shida hapa tumo ndani a pithole country ilitakiwa tuwe na maintenence court, nakushauri Wayne social officials, tafuta lawyer ili upate garnish order dhidi ya kipato cha mzazi mwenzako, if possible uwe na DNA partenity test kuhusu mtoto (results ziwe positive),good luck
 
Asante,kwa ushauri ubarikiwe
 
Pole sana aisee ushauri wangu kaa chini mjadili hili suala na mzazi mwenzako kuna shoga angu alienda huko mzazi mwenzie anauwezo tu ila hela aliyoamuliwa alipe kwa mwezi ni simanzi kwa kweli.
Haya mambo yalimshinda Mobeto pamoja na mbwembwe zake zote, Diamond analipa anachoona sahihi tu ila sheria ni 70,000 kwa mwezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Habari,

naomba msaada wa wa haki ya mtoto kutoka kwa baba yake.

Mahitaji ya mtoto pamoja na ada.

Ni mahakama gani natakiwa kwenda.

Asante
Huu mtindo unafanya kazi vizuri ulaya sio bongoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama hesabu ulikuwa ubebe mimba kisha uje kumtwisha jukumu la malezi mwezio utashangaa na roho yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…