Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibongobongo ndio imekaa poa hakuna kukomoanaHuu mtindo unafanya kazi vizuri ulaya sio bongo😂😂😂 kama hesabu ulikuwa ubebe mimba kisha uje kumtwisha jukumu la malezi mwezio utashangaa na roho yako.
Acha kabisa ndio maana nasema ni simanzi alikuja kuambiwa atoe Tshs. 50,000/= kwa mwezi imagine na baby dady ni HoD tunapofanyia kazi mwenye ngazi ya mshahara LSS.... Jamaniii hatukuamini kilichotokeaHaya mambo yalimshinda Mobeto pamoja na mbwembwe zake zote, Diamond analipa anachoona sahihi tu ila sheria ni 70,000 kwa mwezi 😂😂😂
Kosa la Wanawake wanaotegesha Mimba kwa ajili ya matunzo na ada,mnakuwa mnawaza zile private schools za ada kubwa, lakini mwisho wa siku hizo shule siyo za Serekali, ndiyo maana Serekali haiwezi ropoka hizo ada uko Mahakamani, sisi elimu yetu ni bure, ndiyo maana mnaishiwa kupewa 50000 kwa mwezi kwa ajili ya Msosi na mengineyo!!!Acha kabisa ndio maana nasema ni simanzi alikuja kuambiwa atoe Tshs. 50,000/= kwa mwezi imagine na baby dady ni HoD tunapofanyia kazi mwenye ngazi ya mshahara LSS.... Jamaniii hatukuamini kilichotokea
Umemjibu vizuri + NHIF ya 50400 ili asipate sababu ya kuomba omba helaJiandae kupokea debe 2 za mahindi na elfu 20 ya mboga na mengineyo.
Kuhusu ada. Serikali inatoa elimu bure iyo ada niyanini tena.
Kuna mjinga mmoja ana hizo mamboNakushauri km huna ulemavu wa aina yoyote pambana mwenyewe, mambo ya kuanza kufuatiliana ustawi wa jamii ni kujidhalilisha, kumbuka mtoto ni wa watu wawili
Nakuona mwanaharakatiPole mtoa hoja shida hapa tumo ndani a pithole country ilitakiwa tuwe na maintenence court, nakushauri Wayne social officials, tafuta lawyer ili upate garnish order dhidi ya kipato cha mzazi mwenzako, if possible uwe na DNA partenity test kuhusu mtoto (results ziwe positive),good luck