Naomba kujuzwa Mahitaji ya Vifaa kwa ajili ya 'Car Diagnosis'

Zipi nzuri zaidi mkuu

Je hiyo mashine yako ushajaribu katika gari ngapi tofauti tofauti!? Na matokeo yake je!?
Mimi kwa sasa sina nimepoteza nadhami nilimuazima mtu ametimka nayo na mimi sikumbuki ni nani. Mimi nakuwa nayo kwa matumizi yangu binafsi, nilikuwa na Benz A class iliwaka engine light ndiyo nilinunua lakini haikuweza kuizima,

nikawa na Nissan primera ikazima, nikatumia kusoma kwenye Kia ikakubali na gari nyingine kama 2 hivi sizikumbuki ikakubali. Kwa swali la ipi ni nzuri mimi binafsi ninapenda hizo hand held hazina mzunguko mrefu kama hizo za bluetooth au wifi.
 

Shukrani mkuu!

Tutayajenga.
 
Mkuu nishauri ipi nzuri kwa Nissan xtrail t30 ya mwaka 2003 inayotumia petroli
 
Kwa kuanzia kama huna hela ungenunua laptop ya core i5 mpk i7 na cable ukanunua softwear online .

...Au ukaenda kwa mafundi wa dignosisi kama pale sinza karibu na kkt unamtoa hela anakuuzia softwear za magari tofauti unaweka kwenye laptop...

Maana baadhi ya dignosisi zinabagua magari... Tumia laptop na OBD CABLE unakuwa nazo ... Halafu ukajiegeshe kwa fundi akupe shule kama mwezi mmoja tu unatosha utatengeneza hela mpk basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…