Coolhigh
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 1,373
- 1,271
Mimi kwa sasa sina nimepoteza nadhami nilimuazima mtu ametimka nayo na mimi sikumbuki ni nani. Mimi nakuwa nayo kwa matumizi yangu binafsi, nilikuwa na Benz A class iliwaka engine light ndiyo nilinunua lakini haikuweza kuizima,Zipi nzuri zaidi mkuu
Je hiyo mashine yako ushajaribu katika gari ngapi tofauti tofauti!? Na matokeo yake je!?
nikawa na Nissan primera ikazima, nikatumia kusoma kwenye Kia ikakubali na gari nyingine kama 2 hivi sizikumbuki ikakubali. Kwa swali la ipi ni nzuri mimi binafsi ninapenda hizo hand held hazina mzunguko mrefu kama hizo za bluetooth au wifi.