Naomba kujuzwa mambo ya kuzingatia kuanza biashara ya mpira

Naomba kujuzwa mambo ya kuzingatia kuanza biashara ya mpira

Mr SGR

Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
60
Reaction score
38
Wana jukwaa mimi ni kijana mpambanaji nataka nianze biashara ya kuonyesha mpira. Naombeni msaada namna ya kuanza ikiwemo gharama za awali na kwa kuwa naweka kijana makadirio yake ya hesabu na monitoring iweje ili nipate faida.

Ushauri wenu ni wa thamani sana kwangu wakuu. Nipo tayari kupokea ushauri eneo ni mjini Dar au mwanza
 
Back
Top Bottom