Naomba kujuzwa matibabu ya gono

Naomba kujuzwa matibabu ya gono

Piga Ceftriaxone 1gm stat...maliziq azuma dose ya siku 6...!! Sema acha ngono zembeee
 
Nenda hospital utachomea sindano na kupewa dawa ya Azithromycin 1x1 na Metronidazole 2x2. Itakukosti kama 15k UpTo 30k inategemea na hospital.
Ndani ya siku chache utakua poa
Mitishamba ipo dawa ipo dawa ila kwakua unahofu na unahitaji kupona kwa haraka Fanya hivi
 
Huo ugonjwa kila mti ni dawa ilimradi umepika tu mizizi yake. Kahimbe hata mizizi ya mpapai ama katani tu upike lita tano uifanye kama maji ya kunywa. Siku mbili nyingi umeshapona
 
Back
Top Bottom