Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliomba hizi mkuu?Kwanza umeshapata hiyo kazi mkuu? Au ndiyo umeanza kujipa matumaini tu.
Sijui hata mkuu,ila niliombaHapana sikuomba, ndiyo wameshaitwa?
Isijekua wameshafanya interview, maana mleta uzi anaulizia mshahara😀Sijui hata mkuu,ila niliomba
Milioni 7? au typing error7000,000
TGS DHabari Team,
Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
Neno , " MUNGU MTU" unalielewaje?Chonde chonde nakuomba ukipata hiyo kazi ukaifanye kwa uadilifu wa hali ya juu. Maafisa mkopo wa HESLB wamefanya nikione chuo kigumu sana enzi zile nasomea udaktari, mkishakaa kwenye vile viti vyenu vya kuzunguka zunguka mnakuaga na dharau na kujiona miungu watu sana.
Madogo wanapambana wanasoma kwa bidii wanafika chuo, wanaapply mikopo na wapo eligible then zinapotokea changamoto wasipoingiziwa pesa zao kwa uzembe wenu wakituma wawakilishi kufatilia mnawapoza kisiasa, wakija wenyewe kufatilia mnawajibu majibu ya nyodo na dharau juu.
wanalipa vizuri1175000
MUNGU NI MMOJA TU , ALLAHNeno , " MUNGU MTU" unalielewaje?
" MUNGU MTU" ni mmoja tu naye ni "YESU KRISTO". Yeye ni " MUNGU asilimia 100 na ni MTU asilimia 100( ROHO ya YESU ni MUNGU, MWILI wa YESU ni MTU).
SIFA ya MUNGU ni kutumikia siyo kutumikiwa .Na kama yupo mtu anatafuta kunyenyekewa ili atoe huduma ambayo ni sehemu ya wajibu wake basi hayo ni matumizi mabaya ya madaraka(Abuse of power).