Naomba kujuzwa mshahara wa Senior Planning Officer Tanzania Ports Authority (TPA)

Tanesco Haajiri Mlinzi mkuu ila ana security officer tu na lakini Tanesco analipia huduma hii toka kwa Private Company(Husika) na SUMA JKT kwa sasa, hivyo hauko sahihi ulichoongea Mkuu.
 
Kadri miaka inavozidi kukatika ndivyo na idadi kubwa ya vijana wanaoingia kwenye soko la ajira kujikuta wanaomba kufanya kazi wasizopenda kuzifanya kwasababu ya kuangalia mishahara tu.

Niwahusie vijana: Ukifanya kazi unayoipenda ni wazi utaifanya kwa umahiri kwa weledi na kwa bidii. Na bila shaka utapata mafanikio makubwa, makubwa zaidi mara kenda ya mafanikio utakayoyapata kwenye kazi uliyoikimbilia kwaajili ya mshahara mkubwa.

Ukikaa na kutafakari utanielewa.
 
Tanesco Haajiri Mlinzi mkuu ila ana security officer tu na lakini Tanesco analipia huduma hii toka kwa Private Company(Husika) na SUMA JKT kwa sasa,hivyo hauko sahihi ulichoongea Mkuu.
Kumbe omefocus kwenye kazi yako ya ulinzi iyo niliweka kama kionjo ili habari ieleweke mkuu vipi kuhusu facts nyingine
 
Sasa inakuwaje TANESCO na TANROADS wamepishana kidogo tuu kwnye kuwalipa watumishi wao na wakati mlinzi wa TANESCO kwa sasa anakimbilia kulipwa 5.M 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…