Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi?
Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa?
Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje?
Mashine za Photocopy, Printers navyo naomba kujua.
Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa?
Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje?
Mashine za Photocopy, Printers navyo naomba kujua.