Ephraim fundi umeme
Member
- Jan 23, 2020
- 13
- 6
Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III.
Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing.
Changamoto ninayopitia huku mtaani Kwanza Ni kutambulika Na kuaminiwa kwa urahisi Jambo ambalo linanisukuma kutaka kufanya biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme.
Naomba wenye uzoefu Na mafundi wenzangu mnisaidie ushauri Tafadhali.