Ephraim fundi umeme
Member
- Jan 23, 2020
- 13
- 6
SafHabari,
Vifaa Vya Umeme Kwa sasa bei imepanda kiasi, tho bado unaweza kupambana.
Mtaji wowote unafaa kuanzia iwe laki 5 hadi 50m kuendelea.
unaweza kuanza na ulichonacho, biashara inapokua na mtaji utakua au utapata namna Zaidi ka kukopesheka
WEWE UNASHUGHULIKA NA HII BIASHARA ILI UNIPE DONDOO KIDOGO MKUU??Biashara nzuri Sana hiyo aisee.
Hapana Mkuu ila nimeona wanaoifanya wengi,wanatoka haraka sana kimaisha.WEWE UNASHUGHULIKA NA HII BIASHARA ILI UNIPE DONDOO KIDOGO MKUU??
[emoji120][emoji120][emoji120]Hapana Mkuu ila nimeona wanaoifanya wengi,wanatoka haraka sana kimaisha.