Naomba kujuzwa mwaka wa fedha ni lini

Naomba kujuzwa mwaka wa fedha ni lini

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu poleni na majukumu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu, hua nasikiaga mwaka wa fedha mwaka wa fedha tangu napata akili hadi saa hivi, hivi ni kwamba huo mwaka ukifika tutagawiwa fedha au inakuwaje wakuu.

Nawasilisha.
 
krismass yake inakuwa tar 25 June, kwa serikali. unaweza kuwa vyovyote kwa taasisi nyingine ila wengi wana ufuata wa serikali kwaajili ya kutunza vema vitabu vya hesabu.
 
Mkuu hua nasikiaga bungeni[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom