troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Wanajukwaa kama kichwa cha habari hapo juu.
Nataka kununua gari moja Kati ya hizi mbili, zote ni model moja,lakini moja inatumia disbutor na nyingine inatumia coil.kati hizi ipi itanifaa?
Naomba faida na hasara za gari inayotumia coil na ile inayotumia disbutor