Naomba kujuzwa namna ya kubaini Kampuni ya mabati bora na imara

Naomba kujuzwa namna ya kubaini Kampuni ya mabati bora na imara

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wadau naomba tujuzane mbinu za kupata bati za kampuni bora kabisa ili tuokoane kwa hasara tunazozipata mara kwa mara.

Maana kuna utitiri wa viwanda vya mabati jambo ambalo limepelekea tunapaua nyumba zetu kwa kununua bati kichwa kichwa,bati zenyewe zikipigwa na jua miezi 6 tu zinapauka balaa kama kadeti za kichina.

Je, ni kampuni gani zinaweza kua msaada?

Twende kiwandani moja kwa moja au kwa mawakala?

Tuokoane wadau!
 
Back
Top Bottom