Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mcheki Isanga familySalam wakuu,
Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
Nzuri kununua gari SA wapo wauzaji watahitaji traffic register ambayo ili ununue na kuwa kwenye taarifa za SA hiyo ndio ina address yako kuipata ni bure ila kwa haraka vijana wanatoa kuanzia rand 1500 kuendelea inachukua siku saba kinachotakiwa ni picha yako na passport size pamoja na address unayoishi..Salam wakuu,
Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
Mkuu umeishia njiani. Hapa Bongo inaingiaje?? Hususani hizo calculation za TRA.Kutoka JHB mara nyingi tunatumia Kopfontein border post ,Zeerust North West ni mpaka wa Botswana na SA sio mbali kutoka JHB unaweza kufika kwa goggle map vizuri tu ila hiyo pick up iwe na Security SA wanaiba sana hizo gari...wanafungua saa 06.00 asubuhi na kufunga 24.00hrs usiku kila siku...agent upande mmoja anachukua rand 800 na upande wa Botswana hivyo hivyo...kazungula kutoka hautoi kitu ila Zambia kuingia unaacha hela pale kutoka Zambia hutoi kitu upande wa Nakonde unaware karatasi zao mawakala wao unaingia Tunduma Over...
South Africa na UK wapi wanakuwa na bei rahisi ya magari? Assume same model, year and condition.Kutoka JHB mara nyingi tunatumia Kopfontein border post ,Zeerust North West ni mpaka wa Botswana na SA sio mbali kutoka JHB unaweza kufika kwa goggle map vizuri tu ila hiyo pick up iwe na Security SA wanaiba sana hizo gari...wanafungua saa 06.00 asubuhi na kufunga 24.00hrs usiku kila siku...agent upande mmoja anachukua rand 800 na upande wa Botswana hivyo hivyo...kazungula kutoka hautoi kitu ila Zambia kuingia unaacha hela pale kutoka Zambia hutoi kitu upande wa Nakonde unaware karatasi zao mawakala wao unaingia Tunduma Over...
SA gari bei nzuri kwa sababu wao wanazingatia sana model mwaka ikipita inashuka sana bei tofauti na Japan na UK wao wanaangalia soko ingawaje Toyota na VW SA zinashuka kwa kasi ndogo tofauti na aina zingine za magari...South Africa na UK wapi wanakuwa na bei rahisi ya magari? Assume same model, year and condition.
Mkuu Hilux zipo model tofauti na kodi zimetofautiana kutokana na mwaka wake na pia Toyota Hilux kodi zake zipo juu kidogo sijajua jamaa anataka gari ya Mwaka gani?Mkuu umeishia njiani. Hapa Bongo inaingiaje?? Hususani hizo calculation za TRA.