unauliza bei ya jumla ya tanzania?Ndgu wanajamiiforams naombeni msaada wa kuelekezwa namna ya kufikisha viatu hivi katika soko la nchini Botswana kwani naamini kuna watu watanisaidia jinsi ya kuifikisha huko, na bei huko wananunua kwa pula ngapi?
Asante sana kwa ushauri wako mkuuMkuu Botswana [emoji1052] ipo straight, haina kona kona kama kwetu hapa, ni muhimu ufanye biashara yako kihalali, kama upo Dar fika kwenye embassy yao onana na maafisa pale watakupa mwongozo au drop email kwao, pia kuna mkenya ana min bus anafanya biashara hii kutokea Kenya na route yake ni Namanga,Dodoma,Iringa, Mbeya then tunduma border with luck unaweza kumwona na kumuulizia the way forward kwa biashara hii,good luck