Allen key
Member
- Jan 2, 2019
- 56
- 34
Ndgu wanajamiiforams naombeni msaada wa kuelekezwa namna ya kufikisha viatu hivi katika soko la nchini Botswana kwani naamini kuna watu watanisaidia jinsi ya kuifikisha huko, na bei huko wananunua kwa pula ngapi?
View attachment 2478075
View attachment 2478075