Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo mashirika mengi lakini yanakuwa na agenda zao za siri... Hakuna cha bure.. Pesa yao mtaila lakini ndio tunaangamiza taifaNaomba kufahamishwa wadau mashirika ya ndani ya nchi na nje ya nchi ambayo yanapokea na kutoa support kwa makundi ya vijana, na asasi za serikali. Naomba tufahamishane kwa kuweka email ili tuwasaidie vijana kwa maandiko mbalimbaliya miradi.