Naomba kujuzwa ni mashirika gani yanapokea project proposal na kuzifadhili

Naomba kujuzwa ni mashirika gani yanapokea project proposal na kuzifadhili

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,697
Naomba kufahamishwa wadau mashirika ya ndani ya nchi na nje ya nchi ambayo yanapokea na kutoa support kwa makundi ya vijana, na asasi za serikali. Naomba tufahamishane kwa kuweka email ili tuwasaidie vijana kwa maandiko mbalimbaliya miradi.
 
Yapo mashirika mengi lakini yanakuwa na agenda zao za siri... Hakuna cha bure.. Pesa yao mtaila lakini ndio tunaangamiza taifa
 
Proposal unaweza kuangalia kama USAID, VSO, Wizara ya vijana kama kweli wapo? Mashirika kama SNV, na mengine mengi tu. UN huwa wana programme za vijana ila usiweke mambo ya itikadi kwenye mashirika yote ya nje. Be specific kwenye proposal yako.
 
dah lazima wakupe project yao ndo ufanyie kazi pia nayo ni machache sana
 
Back
Top Bottom