Naomba kufahamishwa wadau mashirika ya ndani ya nchi na nje ya nchi ambayo yanapokea na kutoa support kwa makundi ya vijana, na asasi za serikali. Naomba tufahamishane kwa kuweka email ili tuwasaidie vijana kwa maandiko mbalimbaliya miradi.

Proposal unaweza kuangalia kama USAID, VSO, Wizara ya vijana kama kweli wapo? Mashirika kama SNV, na mengine mengi tu. UN huwa wana programme za vijana ila usiweke mambo ya itikadi kwenye mashirika yote ya nje. Be specific kwenye proposal yako.