Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5 million.

Karibuni kwa mani yenu.
 
Sifa ya hizo click mkuu sizifaham
Labda durability yake, fuel consumption, na upatikanaji wa spare na Labda kwa Dsm nitazipata maeneo gani
Kama upo town. Hafu inaonekana hauna ujuzi wa pikipiki nashauri nenda mitaa ya Kariakoo, mtaa wa msimbazi ile pembeni ya njia ya mwendokasi wanauza pikipiki sana. Basi we pita mule mdogo mdogo ukiona duka ingia fanya window shopping. Pikipiki ni vema ukaikalia kabis andio utajua inakufaa au haikufai. Kuna factor za urefu na unene, na muonekano pia wa pkpiki
 
OK poa nitapita pita jtatu Nashukuru chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…