Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Aongezee anunue passoIkumbukwe pkpk zinachangia kuvunja watu miguu na kuua kwa ajali za kila leo. Nakushauri hiyo hela yako ongezea nunua hata kigari cha 650cc uwe salama japo kwa asilimia kadhaa. Ni ushauri tu.View attachment 1724321
Hii bei yake unanunua prado mkuuNi kukosa tu pesa lakini unatakiwa unakua na dude la 1250ccView attachment 1724660
Passo injini kubwa ile ina 990cc. Anunue suzuki kei, every, terios kid au kama hela ipo anunue jimny. Zote hzo zipo za 650cc.Aongezee anunue passo
Mkuu napenda pikipiki za kibabe kama hizi, pikipiki inaunguruma kama sabaru za chuga.Ni kukosa tu pesa lakini unatakiwa unakua na dude la 1250ccView attachment 1724660
Duu Gari gani hiyo mkuu ya ml 3 au bodyMil 3 mkuu chukua gari achana na pikipiki
GX100 au Corrolla 110 anapata mbona!Duu Gari gani hiyo mkuu ya ml 3 au body
Yap nimepata na nitaleta mrejesho mkuuNatumae mleta mada umepata muongozo...